Amejibu Maombi Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Muzik
Aaaaaaa
Chineke mo Dady yo
Aaaaaaa
Ninashangwe tele leo
Acha nihimbe yesu eh
Muzik
Umefanya maajabu leo
Acha ni cheze eh
Yale yali yo shindi kana
Uli yaweka mepesi
Nashukuru
Aaaaaaa
Uliliya moyo
O moyo
Au kupata msaada
Ulisau moyo
Kama bada yaziki
Nifuraha
Aaaaaaa
Aaaaaaa
Ame tena leho
Umefika mwisho
O mwisho
Wakulia liya tena
Umefika mwisho
O mwisho
Wa ku chekwa tena
Leo amefungua mbingu
Kwa ajili yangu mimi
Wacha ni cheze
Wacha ni cheze ame jibu maombi
Wacha nime ame jibu maombi
Wacha ni cheze Amejibu maombi
Huyu Yesu Amejibu maombi
Ame tena leo ametenda
Huyu Yesu ametenda leo ametenda
Ametenda leo ametenda
Huyu Yesu ametenda leo
Nimeyamini wewe ni Mungu
Wakuitwa nakuitika
Hakika washangaza
Umevuta ahibu
Niliyokuwa nayo
Yesu
Vita vya panzi
Furaha kwa kunguru
Binadamu bwana
Umefika mwisho
O mwisho
Wakulia liya tena
Umefika mwisho
O mwisho
Waku chekwa tena
leo Amefungua Kwa Ajili
Yangu mimi…
Wacha ni Cheze
Wacha ni cheze Amejibu maombi
Wacha nime Amejibu maombi
Wacha ni cheze Amejibu maombi
Huyu Yesu Amejibu maombi
Ame tena leo ametenda
Uyu Yesu ametenda leo ametenda
AmefutabMachozi yangu
Ame tena Leo ametenda
Huyu Yesu ametenda Leo
Si tu me vois danser mon ami
C'est parce que Jesus a trop fait quoi
Ale atoye
Maina ma fizi
Ale atoye
Lùmamba lùmamba