Chukua Time ft. Ommy Dimpoz Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2015
Lyrics
Chukua Time ft. Ommy Dimpoz - Suma Mnazaleti
...
chukua time by suma mnazareti ft Ommy Dimpoz nenda sepa, leo nimekushtukia
usitaki tongo, si ulikataa nenda sepa, nani unamwita dear
usitaki tongo, acha tamaa
chukua time, chukua time chukua time, time time time
chukua time, chukua time chukua time, time time time
ah, nillikupenda sana, kisa sio star ukanitosa
bwana...mh! enzi hizo miss bwana, mtaani uliniona ka'
shabiki sana...ah! una pub ndio, tena we ni star wa bongo movie
sio....umesahau! nilikutaka ndio ukanitosa kisa upo kwenye
cover sio....kwa dharau! we ni model pia mpaka, asanali anakujua
nilikutaka pia enzi za chuo we ndio ukawa unajisikia
huu mziki kipaji, show ya kwanza uliniona mzugaji...ah!
wivu wa kwanza mtaji, CD yangu ukaimwagia maji...mh!
mi na upendo ndio, ila haya mapenzi nayaona sio...eti!
alinihit ndio, niwe nawe, ili kesho utambe kwa wenzio
sitaki!
nenda sepa, leo nimekushtukia u-sitaki tongo, si ulikataa
nenda sepa, nani unamwita dear u-sitaki tongo, acha tamaa
chukua time, chukua time chukua time, time time time
chukua time, chukua time chukua time, time time time
ah, nikiwa nawe nitahit ndio, kwa tv magazeti
na redio miezi sita haupo, mshamwagana kashuka chati
kwa skendo kwa style hii hunipati, ah we tapeli mzugaji
eti unapenda nyimbo yangu mh, nakujua muuaji....ah mie sikutaki ndio, nilivyotoka nilikuwa na
mpenzi ndio...maana niko hapa leo, alinipenda hata kabla sija'hit
mwaka jana umenitunza ndio, kwenye noti umeweka namba
ili iweje sio...ah mie situmiki hivyo, hata kama nina njaa hunipati
hivyo....eti nilikutaka mimi ukakataa, kisa sio star sina
chapaa leo niko hit unashangaa, shobo zimezidi mh
nakukataa nilikutaka mimi ukakataa, kisa sio star sina
chapaa leo niko hit unashangaa, shobo zimezidi mh
nakukataa