Lala ft. Lody Music Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Lala ft. Lody Music - Suma Mnazaleti
...
Wa nini mwengine wa nini mpaka ati we ndo the one of a millioni
Kibichibichi laini yani mpya metoka kwa lyloni
Umenitupia jini nakuwaza mchana kutwa jioni
Nikiwa usingizini nakuota mwenzako
Nashindwa kulala la la la la
Siwezi lala la la la la ×2{chorus}
aaaah...chumbani ka mtoto ananifunza a be che de
Ulinzi 24 ananichunga nisitembee
Kiuno ndo msingi nazungusha apagawe
Utamu bado mwingi anajitunza asante weeeh
Usije ukaniacha nkawa taira
Staki usingle father baba kaila
Usiwe machepele kama bwakila...nkafa na alostooo
Vitu unavyonipa nshakua taira
Mapenzi siku hizi hayana kabila...niko na katoto
{chorus}
One by one two by low
Utamu si utani ukiwa na mtoto
Kipimo mizani upendo ni hiko
Haba na haba hujaza kijiko
Ayaaa weeeh...kwako mimi najiona
Far away...jahazi tayari limezama
Tanga weeeh...pemba unguja na mombasa
Salmah jeeee....
{chorus}