USIJIMWAGE Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2022
Lyrics
Haha is Kz On the beat
Heripoza Overbpoy
Levolenyewe
Penzi Lachuki
Nishindwe vaah suite
Nishindwe vaah booty
Nipigwe baruti wale waki vaah suite minile kwa mikosii
Kwanini niruke kidogo ushindwe kulala kidogo
kwakazi yakwangu yau model
Naogopa nisiliwe Kisogo
Heee maringo ya visasi vitusi avina maana
Bora' Bora uitywe kichafu kinyesi chakujenga mahana
Body yoo ongeza akili usifinywe nawenzio
Hmm' Asa Money yoo ukipata kidogo usijipe mateso yoo
Hmm' asa body yoo ongeza akili usifinywe na wenziyo
Hmm' asa Money yoo uki pata kidogo usijipe matesoyo
Hmm' asa
Usijimwage Usijimwage aaah
Usijimwage Usijimwage aah
Usijimwage Usijimwage aah
eeeeh aaah
Ukimwa' Ukimwa ulinda mengi mazuri naya jayo kesho
Siri' Siri ulinda mengi mabaya ili ujuwe keshoo
Tena upunguza kwa kasi
Majaribu kwa kasi usipete matatizoo
Mana kuna mikosi ijayo kwa kasi
Nawa lio karibu yakoo
Wataka kesho mbaya yako ili waku chane
Wakupa na vijina ili kesho wakutukane
Ukitowa neno wapinga ili wakuzomee
Heiyeee Body Yooooh' Body yoo ongeza akili usifinywe nawenzio
Hmm' Asa Money yoo ukipata kidogo usijipe mateso yoo
Hmm' asa body yoo ongeza akili usifinywe na wenziyo
Hmm' asa Money yoo uki pata kidogo usijipe matesoyo
Hmm' asa
Usijimwage Usijimwage aaah
Usijimwage Usijimwage aah
Usijimwage Usijimwage aah
Eeeeh aaah
Love is so looow uhh huuu uu
Wanao kuweka vitani ni wale wale
Wanao aribu mipango ni wale wale
Wanao kupa mikosi ni wale wale
Unao waamini sana ni wale wale
Wale waleeeeee eeeeeee uhh huuuu uu
Body Yooooh