Valentine Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Heee iiyee Hmmm Mmmmh
Baby Mama My sweet potato
Nimezama Mpenzi Niokote
Sukari Yangu Niwee Nifanye Niwe Jiwee
Nami Nikulindee My Number one Niwe
Unichanganye Unisakate Unifumbate Kama Mtoto
Niku'ngate My Leile Nikulinde My Baebe eeehmeee
You are My Muda muda mudaa
You are My sugar sugar sugar babe eee
Kilimanjaro virunga nataka tufike ni enjoy nawe Valentine
Bubembe Baraka tufike tu enjoy Valentine
My honeeey acha tu enjoy Valentine
Siku ya Leo niyangu minawee Valentine
Weka mziki kidogo nicheze nawee Valentine
Furah zamoyo zibaki sawa sawa Valentine
Acha tuvuke ngamboo Andah iyo mambo
Chakula chamoyo akuna ugonjwa usio nadawa ee
Nakupa moyo vangu tunza mchawi mganga ni wewe
Vineno vikali sitokupa anaye deka kwangu ni wewe
Mchezo wa Christian Ronaldo uwa ufunga sawa sawa
Kucheza Mziki wapanado rumba zakwetu ndani sawa
You are My muda muda mudaa
You are My sugar sugar sugar babe eee
Kilimanjaro virunga nataka tufike ni enjoy nawe Valentine
Bubembe Baraka tufike tu enjoy Valentine
My honeeey acha tu enjoy Valentine
Siku ya Leo niyangu minawee Valentine
Weka mziki kidogo nicheze nawee Valentine
Kubebe acha niku bebe
Kubebe Mugongo niku bebe
Niku bebe acha niku bebe
My lovy lovy mimi niku bebe
Tuombe na duwaa
Mungu ashushe nvuwaa
Mauwa ya chanuwa
Shambani mauwaa