
Jealousy ft. Darassa Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Jealousy ft. Darassa - Nviiri The Storyteller
...
uuuh yeah
a storyteller yeah hey
staki kukuona
staki kukuona na mwengine
kuona na mwengine
staki kukuona
staki kukuona na mwengine
kuona na mwengine
oooh jealous
I get so jealous
anybody tries to talk to you
trying to dance with you
oooh jealous
do you get jealous
when the ladies cream at my name
I wanna know before it shows
that is a human nature
I'm not the type to judge
ikifanyika I'm so sorry
don't act upon me girl
that is a human nature
I'm not the type to judge
ikifanyika I'm so sorry
but girl lately
staki kukuona (ona)
staki kukuona na mwengine
kuona na mwengine
staki kukuona
staki kukuona na mwengine
kuona na mwengine
oooh jealous
oooh jealous
oooh jealous
oooh jealous
eh nikuambie tu ukweli ukiwa kitonga
kila mpita njia atakuja kugonga
najua uko dm kama wanakuzonga
kwa gia zaku bonga na gia zaku omba
sukari yangu watu wanataka kuonja
subiria chunga mzigo wako wata somba
na unga unga ndo tifit na connect
ukiweka pause na pitia comment
sio free market hii kitu private
wasiingie wasijiachie kama consenti
wanasema ndege wako ukiwa ndani lakiwa barabarani hujui anaruka na nani (jealous)
sometimes mi nakuwa niko vitani we uko zako viwanjani na marafiki company (jealous)
na ukienda kwa fundi cheriani (jealous)
vipimo mi jamani yani yani (staki kukuona) (ona)
staki kukuona na mwengine
kuona na mwengine
staki kukuona
ukichekeshwa na mwengine
cheka na mwengine
staki kukuona (ona)
staki kukuona na mwengine
kuona na mwengine
staki kukuona
uki densi na mwengine
dance na mwengine
oooh jealous
oooh jealous
oooh jealous
oooh jealous