![Bakhresa](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/03/11/bd659d9747dd4be68f9b82827658463e_464_464.jpg)
Bakhresa Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Bakhresa - Harmonize
...
Bakhresa
yeah
konde boy call me number one
Number one
Bila shaka haujawahi
Kumuona hata kwa sura
Boss wakaribia kila unachokula
Huwezi muona kwa TV hata kwa dharura
Ingawa yeye ndo mwenye king'amuzi
Hana time na mitandao
Yani kuuza sura
Yupo busy na mafao
Pesa mlungula
Angetaka kupita nao
Wote angeshakula
Hana huo muda wa makuzi
Masikini anawapa mitaji
Wagawane na watu wazima
Huwezi muona kwenye picha
Na wajane au mayatima
Hawezi kujisifia nyumba
Wala magari range na bima
Riziki anagawa muumba
Jalajalali kikubwa uzima
Sura yake kwako lazima
Itakuwa ngeni
Uwenda ushapishana
Nae kwenye foleni
Maana sio mtu
Wa kupop mashampeni
Yeye sio limbukeni (yeah!)
Chorus
Mfano wa mtu mwenye pesa!
oooh pesa aaah!
we mtazame bakhresa
bakhresa aaah ×2
I wanna smoke some weed
uuh uuh uuh uuh
uuh uuh uuh uuh
(Aaaeh!)
Bakhresa hajawahi kugombea cheo
Au kujisifu na maendeleo
Hawezi kushika pesa akazigawa
Hivi ushasikia bakhresa ana chawa
Akina tajiri MO kipenzi
Cha wanasimba aaaaah!
Tunawaona insta wakicheza
Nakuimba aah aah aah!
Gharib boss wa yanga na GSM
Yeye anautaratibu wa kwenda
Kwa mkapa kucheki game
Sio mbaya ila huwezi kumuona
Bakhresa akijisifu na pesa
Na majigambo rumbesa
(Bakhresa aah aah!)
Mtanzania pekee aliye juu
Ya Bakhresa ni raisi
Wa jamuhuri maana yeye ni Taasisi
(oooh!)
And guess what mama yuko peace
Naukimuona ametokea akiongea
ni kwa ajili yetu sisi
Wakati unajigamba wa mbezi beach
Bakhresa ana mashamba huko kijichi
Ebu acha ushamba pesa haijifichi
Eti I gat too much money am so rich
chorus
Mfano wa mtu mwenye pesa!
oooh pesa aaah!
We mtazame bakhresa
bakhresa aaah ×2
I wanna smoke some weed
yao yao
Tell dem boys we gat this new money
And we live low key baby
uuh uuh uuh uuh
uuh uuh uuh uuh
The mix killer
Jeshiii!