
You Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
I Miss You - Harmonize
...
Mikono juu nasalenda
Wacha dunia ijue muhuni amependa
Wangapi walikuja wakaenda
Ona ni wewe
Mwenzako nahesabu kalenda
Siku na masaa yanakwenda
Ebu fanya urudi nakupenda
Basi nielewe eeh
Kitaniumbua kifo kifoo
Nikiyaficha maradhi
Sikujua before before
Kumpata unaempenda ndo kazii
Nimejaribu aka kawimbo kukuimbia
Pengine labda ukakasikia
Ishara tosha kua najutia
Fanya unisamehe ni mambo yaujana
Moyo ulokufa ganzi nikifikiria
Mazito tuliyapitia
Yalokufanya hutaki ata nisikia
Bado unahisi ni kama jana
Hakuna aliekamilika ata unaemdhan malaika
Bado anaweza kua shetani
Na ukasema bora mimi
Ndoto yangu bado ijafutika
Na amini siku itafika
Tumuite shekhe na ubani
Au tufunge ndoa kanisani
Ooh bebe
I miss you x4
Kweli mapenzi hayana ujanja
Hayajaligi jina mkwanja
Yani nimepita kila kiwanja
Ila nimenasa kwa mtoto wa masanja
We mtu wa mtu tena mlokole
Yann app ya mange
Wapiga majungu wakina lokole
Wanaopakaza mi nakula bange
Navuka makosa tena niko radhi kutoa posa
Basi fanya urudi malkia
Tuje kuanza tulipoishiaa
Waambie mashoga zako
Si kwa ubaya ila mi sipendagi kuongea
Unamsemaje mwenzako bangi mbaya
Kama hujawah ata mgongea
Hakuna aliekamilika
Ata unaemdhani malaika
Bado anaweza kua shetan
Na ukasema bora mimi
Ndoto yangu bado ijafutika
Na amini siku itafika
Tumuite shekhe na ubani
Au tufunge ndoa kanisani
Ooh bebe
I miss you x4