
Mukwano ft. Ommy Dimpoz Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Mukwano ft. Ommy Dimpoz - Belle 9
...
MY love my love my love love
Sifa nyingi uliopewa na mwenyezi
Sijawahionaa
Uvumilivu chini ya uvivu siku hizi
Wanakula kona
Mwisho wetu nilini baby
Wanaulizana daily
Tumepeana nini baby
Wanaulizana daily
Already now
Am lonely
Peke yangu mi naonekana
Already now
Am lonely
Peke yangu mi naonekana
Njoo na rafiki njoo
Bora njoo na rafiki njoo
Mukwano njoo na rafiki njoo
Maana leo ni siku ya furahaa
Vunja kabati kidogo
Penzi asali mola mtetezi
Mwengine sijaona
Kesho nikisali yatakwisha mengi
Kwani nawachoma
Nataka upendeze uvunje kabati kidogo
Ukifika tuchezee
Moyo nimeshakupa mimi na wewe kidogo
Acha niwaeleze
Nasubiri uje tuenjoy today
Wewe ndio wangu yule
Mukwano njoo na rafiki nzoo
Maana leo siku ya furaha
Mukwano njoo
Mukwanoo
Njoo basi njoo mukwano
Na rafiki njoo
(Salito sofo)+255777146513