Happy bithday ft. Kelcie Ken Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Happy bithday ft. Kelcie Ken - Kenny Bizzoh
...
A girl toto, Kelcieken anapenda cartoon (zack made it)Na mukamba, mukamba international .
Happy birthday, happy birthday to you girl.
Happy birthday, happy birthday to me girl. ×2.Baraka za daddy nakupa ,baraka baraka za daddy nakupa gyal.
Happy birthday, happy birthday to me gal.
Baraka za mum amekupa , baraka baraka za mum amekupa gal.
Happy birthday, happy to me gal.
Ketha waetiwe ni ngai kula nii , kula nii, kula nii kula nii, niusuviane na makanae , kanae kanae.
You are a super woman mtoto wangu you are a super woman. you are a super woman ,woman, woman. Popote uendapo, chochote uguzacho, ×2
Happy birthday, happy birthday to you gal
happy birthday, happy birthday to me gal. ×2Baraka za daddy nakupa , baraka baraka za daddy nakupa gal.
Baraka za mum amekupa , baraka baraka za mum amekupa gal.
ulisema watoto waje kwako baba huyu namleta kwako×2
Baba mshughulikie, asije kosa mshughulikie eeh, baba mshughulikie, asije kosa mshughulikie eeh.(she's a winner)
mwitu wi namba imwe kila vandu manya wi namba imwe(God protect her)Asa nduka mueke nzui ni mbingi nduka mueke iwe.
Happy birthday, happy birthday to you gal.
Happy birthday, happy birthday to me gal.×2Baraka za daddy nakupa,baraka baraka za daddy nakupa gal.Baraka za mum amekupa,baraka baraka za mum amekupa gal.
A gal toto,Kelcieken,wapi kule shosh,na soso,na babu wa chipo.