Mbesa Mavuti (Mapepe) Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2022
Lyrics
Mbesa Mavuti (Mapepe) - Kenny Bizzoh
...
Nianya mbesa mavuti niukuvua na ngakuitithya...ai weee...mbesa mavuti niukuvua na ngakuitithya.... ai weee.....
nianya nguma kitunguu ngetya ugavana mbita kuicha...ai weee.... nguma kitunguu ngetya ugavana mbita kuicha....ai wee
Mapepe pesa kidogo mapepe...aah mapepe sifa kidogo mapepe....mapepe punguza mapepe...aah mapepe punguza mapepe...
Hivi majuzi ulibadili mavazi hatukai na amani... kagari ni nini kamekujaza kiburi....eeh mapepe...isifanye tukukwepee.....eeh mapepe... isifanye tukuchekee
Tusilingi tunini wakwata mwanye uimesya mbya.... tusilingi tunini wakwata mwanye uyimba chongo... tusilingi tunini wakwata mwanye uimesya mbya.... tusilingi tunini wakwata mwanye uyimba chongo....ulipo hapakalikiii,,,,majigamboo... rafiki umebadilii,,,sio jamboo....na mama mboga alikukopeshaga ata salamu za Mungu hauna....vijana mlohangaika nao sasa unawao.....
Na nouwe ukwasya.... nianya mbesa mavuti niukuvua na ngakuitithya...ai wee....ai mbesa mavuti niukuvua na ngakuitithya....ai wee.... nianya nguma kitunguu ngetya ugavana mbita kuicha....ai wee.... kitunguu ngetya ugavana mbita kuicha....ai wee....
Mapepe pesa kidogo mapepe...aah mapepe sifa kidogo mapepe.... mapepe punguza mapepe...aah mapepe... punguza mapepe...
Mbona muyiumanya.... mbona muyiumanya i endwa... mbona muyiumanya.... mbona muyiumanya i endwa....ve andu maionasyo indi umunthi tivo mai....tivo mai....ve andu maionasyo indi umunthi tivo mai... tivo mai.... mbesa maionasyo indi umunthi tivo mai... tivo mai (selesele).... nguma maionasyo indi umunthi tivo mai... tivo mai....
Mukamba International......kweekulye andu asu maendie naku....mayivo ...muthanga oo umeletye ngumbau mbingi....maina kila kindu...we...ikala na andu nesa....ma-pe-pe.....haushikiki umekua ma-pe-pe....huambiliki umekua ma-pe-pe....mitulyo ya andu ndumanwe nayo ma-pe-pe punguza punguza punguzaa.....weka shida chini....panda juu...panda juu... panda juu...weka shida chini... panda juu... panda juu... panda juu....hebu shuka chini...panda juu.... panda juu... panda juu....hebu shuka chini... panda juu... panda juu... panda juu....upande upande makofi eeh upande upande..... upande upande makofi eeh upande upande.....
Hii dunia tuliumbwa kabisaa tuishi we.... eeh....hii dunia tuliumbwa kabisaa tuishi we...eeh...mastresss weka kando... mastresss weka kando.... depression weka kando... depression weka kando....
Maisye kutulika kwa mwiko tiw'o mwiso wa kuua ngima....ona maimbya syongo....notwikalilee....."Earth is for the living"