![Kolo](https://source.boomplaymusic.com/group2/M0B/55/78/rBEeqF14lp6Aad3zAACUrNSlwNs636.jpg)
Kolo Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Kolo - Enock Bella
...
Nimekapata ka mchumba tunaendana
Hatuna muda Wa kushindana
Ana mitego ya kutukuna
Yaani inama inamaa
Hapendi pensi vuka zake
Zake taiti bukta, hodari wa matuta
Aiyoyooo
Sasa nibebee tukiwa mtoko (mtoko)
Yeah, night kali koko baby ma photo photo
Na vile alivyo toto (mtoto)
Mafuriko maji moto oooh (moto)
Namwitaga baby (mamy ooh)
My super woman
Sweet sweet ooh (mamy ooh)
Tugandane nayee eeeh
Mimi kolo
Mimi kolo
Mimi kolo
I feel in my heart ooh baby oooh
Nisipokuona nakonda kinoma naugua polio yeeah
Katoto chanisakama nikishika kanitetema kwa kiti kwa kochi kona
Anataka muhogo eeh