Wewe Nani Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Wewe Nani - Enock Bella
...
Ivi wewe mapenzi kwa nini waniaibisha
Nakosa usingizi kweli wanisikitisha eeeh ahaah
au kuna kizizi ambacho kwanguh nimekosa eeeh
Nimejawa simanzi mapenzi unanitesa eeh
Mana silali naempenda amejawa mikosi
Kukicha kutwa kwanguh lawama
Mbn huruma nipunguzie nuksi univutie anaenipenda
Tena wengine nawatangaza harusi mbwembwe
bashasha wananitusi
nilifikiri umaarufu ungenisaidia kumbe wapi eeeh
aaaah aloooh
Kwan wewe nan
umetoka wapi ..,.
baba Yako nani
Unauwa watu Etty (eeeeh)
Instrumental
ouooooh oooh
Wengine wanakesha Kwa waganga eeeh
Kwa ajili yako mapenzi
wanakesha wakipiga nyanga eeeh
Etty kisa mapenzi
na ukasababisha mama yangu kafariki
Kwa sababu ya upendo Kwa mwana
Mbn wale kule walioana
Kila siku wanapigana ahaah
Kwa nn nisilie na unaleta visa (ohuoh)
Mara ngapi nivumilie na unanitatiza yeyeye
Mana Kila naempenda amejawa mikosi
Kukicha kutwa kwanguh lawama
Mbn huruma nipunguzie nuksi univutie anaenipenda
Tena wengine nawatangaza harusi mbwembwe bashasha wananitusi
Nilifikiri umaarufu ungenisaidia kumbe wapi eeeh aaaah aloooh
Kwan wewe nan
Unatoka wapi (unatoka wapi iiih)
Baba Yako nani
Unauwa watu Etty (sasa wewe ni upendo gani)
(lololo aaah eeeh )
Kwan wew nani
unatoka wapi hiii
Aaaah eeeeh
ooooohhhhh
Kwan wew nani (wewee nani)
unatoka wapi (oooohhh
Baba Yako nani(nieleze nieleze )
Unauwa watu (unauwa watu eeeeih)