Pole X Wangu Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2022
Lyrics
Pole X Wangu - Salha Music
...
pole x wangu_salha abdallah
..................
nilidelete mapenzi faili lilipotea
nimebadilisha kozi mapenzi nimesomea
huduma yangu na dozi imezidi maridhawa
nayamiliki mapenzi tena nnayajulia
alienipata anakula rahaa , alienipata anakula rahaaa
tena amejisahau yupo dunia ya tatu namlewesha mapenzi
wewe ulijisahau ukaniona si mtu ukayatupaa mapenziii
unaitaka suluhu ya niiii
uliniacha mwenyewe njianii
kaniokota mwenzko jamaniii
kanibeba kwa mbeleko moyonii
pole nakupa pole mwenzangu (pole x wangu)
pole usijisumbue kwangu(pole x wangu)
pole nakupa pole mwenzangu(pole x wangu)
pole usijisumbue kwangu(pole x wangu)
unajisumbua unajisumbua bure (pole x wangu)
unajizuzua unajizuza wewe(pole x wangu)
unajisumbua unajisumbua bure(pole x wangu)
unajizuzuza unajizuzua wewe(pole x wangu)
...............
mimi kwa fikira zangu nadhani wanitamani
sirudi kinyume changu pararukapo sishoni
ingawa wapo wenzangu lakini hatufanani
kama ni muhimu kwangu singekuacha njiani
iyo sio kazi yangu mimi kwenda uchawini
ninae mpenzi wangu wewe nikuroge nini
meseji unazotumaaa
sio kama sizioniii
niko buze na muadhamaaa
nimelala kifuaniii
nimekuacha nasema kurudi kwko sidhani
na nimenawiri sana kwako nikumbuke nini
unaitaka suluhu ya nini
uliniacha mwenyewe njianiii
kaniokota mwenzako jamanii
kanibeba kwa mbeleko moyoniiii
(chorus)
nilonaeeeee nilooonae
nampenda kulikonii( nampenda kulikoni wote)
nampenda kulikonii (nampenda kuliko chochote)
anko zumo(nampenda kulikoni wote)
habiba zumo(nampenda kuliko chochote)
na k nakshi( nampenda kulikoni wote)
irene uwoyw ( nampenda kuliko chochote)
wema sepetu( nampenda kulikoni wote)
mama samia ( nampenda kuliko chochote)
nampenda kulikoni woteeee
nampenda kuliko chochoteee
..........................
aletendwa kapendwa