![Nitajaribu ft. Kayumba](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/08/fafa3b37f6074829b8128721c426ab4b.jpg)
Nitajaribu ft. Kayumba Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2020
Lyrics
Nitajaribu ft. Kayumba - Salha Music
...
Nitajaribu uuh
Bado nitajaribuu
Sikopeshi wala siuzi
Mi wako mia nikipenda ndo napenda mazima
Jibwa bwege nafata miluzi
Peku navamia
Nikitekwa natekeka mazima
Ndo najiuliza ni nuksa au balaa
Mi nikitaka na moyo unataka
Nishakunywa sana mapombe mahaba
We ukienda ni wasaba
Kuniacha sishangaii wangu hajazaliwa labda
Mi mtafutaji ata ukiniumiza ni sawa tu
We nenda kama mpitaji kidonda nitaweka dawa x2
Eeeh Nitajaribu
Mmh aanh labda pepo yangu naikaribia
Nitajaribu
Mola na mm kilio changu atakisikia
Nitajaribu
Namini bado yupo bado yupo
Nitajaribu
Aanh mmh wangu namsubiria
Wangu namsubiria simuoni
Mola basi unioneshe ndotoni
Nishagusa kidonda hakiponi
Ama sina bahati mi toka tumboni
Nishapita na micharuko (Wapi
Nimisukosuko tu
Kwa waganga wa mvuto (Wapi
Nimisukosuko tu
Wangu namsubiri ishapita ishirini sasa
Bahati si mala mbili au yangu ilipita labda
Mi mtafutaji ata ukiniumiza ni sana
We nenda kama mpitaji kidonda nitaweka dawa
Eeeh Nitajaribu
Mmh aanh labda pepo yangu naikaribia
Nitajaribu
Mola na mm kilio changu atakisikia
Nitajaribu
Namini bado yupo bado yupo
Nitajaribu
Aanh mmh wangu namsubiria