![Mungu Wa Kweli](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/14/afbe9effcf9d478aafcdf0cf71e0b8fc_464_464.jpg)
Mungu Wa Kweli Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Mungu Wa Kweli - Kingly Remnant
...
Wewe ndiwe Mungu, Hakuna Mungu kama wewe, Mungu u wa kweli, tunakuabudu ×2
Unaweza baba, unaweza Yesu, twanyenyekea mbele zako kukuabudu ×2
Tulipokuwa wafu, sababu ya dhambi zetu, ulituhuisha pamoja nawe, katuokoa,
Katufufua pamoja nawe, katuketisha pamoja nawe, ulimwenguni wa Roho ndani ya Kristo.
(Chorus)
Ndani yako tunaishi, tuna uhai, uzima wa milele tumepokea,
Tunayo haki yako, tumehesabiwa haki, tumetakaswa na kuwekwa huru.
(Chorus)
Twakuabudu, twakuabudu milele,
Twakuabudu, twakuabudu milele,
Twakuabudu, twakuabudu milele,
Twakuabudu twakuabudu milele.