![Mfalme Wa Wafalme](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/04/06/0887dfcc3f9d4bddba9e68b64339a2a9.jpg)
Mfalme Wa Wafalme Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Mfalme Wa Wafalme - Kingly Remnant
...
Wewe ni mfalme wa wafalme,hakuna Kama wewe, sifa na heshima ni zako wastahili
Umekuwa kimbilio langu, wakati wa shida, umekuwa mwanga wangu, mahali pa kujificha.
Umekuwa kimbilio langu, wakati wa shida, umekuwa mwamba wangu, mahali pa kujificha.
Yesu ,ndiwe mwanga wangu, ulinitoa gizani, shetani angenimaliza, ukaniokoa
Mamlaka, pia na nguvu, ziiko kwako, nguvu na uweza, twapokea kutoka kwako
Unastahili heshima, unastahili utukufu….