
Hatukuelewi ft. Boutross & Exray Taniua Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Hatukuelewi ft. Boutross & Exray Taniua - Odi Wa Muranga
...
hulewangi na huokokangi ocha kwenu hauendangi.
huoangi na hupendanangi na pia vaccine hautaki.
hatukuelewi(Sina Tama kabisa na WA awake) hatukuelewi, hatukuelewi shida yako ukuanga nn ×2.
sinyamazangi sidondosangi mi hukula KFC hiyo kuku na ugali siendi na Uber kuja na gari hizi ni Gani? kwenda tuh nyumbani
nasikia.
Nasikia weh Mshy na unapenda za gizani
kende na umedunga miwani
Jirani hizi vitu gani?
story za mapicha, nikitoka tu kejani
Itisha, bill nitalipa
zikifika msela amezima
Hamuelewangi ? Hatumuelewangi
unadai vitu, kujidai mtu wa kanisa
hulewangi na hauokokangi ocha kwenu hauendangi
huoangi na hupendanangi na pia vaccine hautaki.
hatukuelewi,(eleeewi)
hatukuelewi, (eleeewi)
hatukuelewi, (eleeewi),shida yako ukuanga nn. ×2.
Nina methali na nikali
mpenda kuni alinauli
Nina swali, Nina swali....
Senna totore, ni totore wa mathioto
Mwaka imeisha nabado uko single
ama tukupost huko Jumia
Tulichangisha tukamtuma mzinga
saaii anapiga makosa imefanyika.
We don't hide the Lakers
We don't aqua mashow loss.×2
hulewangi na huokokangi ocha kwenu hauendangi
huoangi na hupendanangi na pia vaccine hautaki.
hatukuelewi,(eleeewi)
hatukuelewi,(eleeewi)
hatukuelewi,(eleeewi) shida yako ukuanga nn×2
mih staki zishike nikinyanya
sih staki nipate nimewasha
kunakitu naskia inaniwasha
mpaka Pedi ashaanza kunipasha
hii ni release kama zimeshika
morio unarelease, aah
suezi defeat Niko jaba
maini nasikia ni mashish yah
Leo nataka kah Christmas
nataka kanishike kah 6 months
sauti nibadilishe kah chipmunks
mkono mrefu sijui na Kismat aty
msupah vile ameivaah babake ameriwesa
shida sih maji, shida babyesia
shida sih mingi, shida ni pesa
Na shida ni mm napendanga pesa
hulewangi na huokokangi ocha kwenu hauendangi
huoangi na hupendanangi na pia vaccine hautaki
hatukuelewi, (eleeewi)
hatukuelewi,(eleeewi)
hatukuelewi,(eleeewi) shida yako ukuanga nn×2.