Njoo Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2022
Lyrics
Njoo unikalie nikubebe
Watambua nina stamina canfidance ye
Babe ni milele na forever amen
Njoo unikalie nikubebe njoo unikalie nikupende
Kwako nimeshinda nimehema daily babe ni milele na forever amen

Njoo nikukalie unibebe njoo nikukalie unipende
Nimeshinda nimehema daily babe ni milele na forever amen

Feel im in a good mood babe I might wife ya recruit your girlfriends with the players in my team
Rupupumpum we a rendezvous have the time of our lives doing what we do
Im bout serenade you propane thoughts love redefined cupid in a mosh pit
Flaunt a reputation you might want to consider love phenomenon bringing charm to the plate
In a miss match we match opposites attract so we infact insync
Chemistry amazing its a common bond recognize babe you in the presence of a pharaoh
Sleek bring the lls in cool james doing it you know that I be doing it well apparel and the rare jewels Lifestyle I have you living it well the fame the fashion I keep you in check and I
Exhibit the best you know in town we the famous duet fresh fine uniliver invest
Your girl friends third wheel the events, wish you was out so that they can replace
In a good mood babe I might wife ya recruit your girlfriends with the players in my team
Rupupumpum we can rendezvous have the time of our lives doing what we do
Njoo unikalie nikubebe njoo unikalie nikupende
Kwako nimeshinda nimehema daily babe ni milele na forever amen
Njoo unikalie nikubebe njoo unikalie nikupende
Kwako nimeshinda nimehema daily babe ni milele na forever amen
Njoo nikukalie unibebe njoo nikukalie unipende
Nimeshinda nimehema daily babe ni milele na forever amen
Njoo nikukalie unibebe njoo nikukalie unipende
Kwako nimeshinda nimehema daily babe ni milele na forever amen
Stamina canfidance watambua nina stamina canfidance ye

Cheke vile maninja wakungangania hapa jiji haku mmoja anakufika
Swagg lipshizo mahyps ni balaa ata nimehema kila inch
Utadhani karen nyamu ndani ya Jubilee shawty amehitimu na si tbt
Itakuwa vipi ata sikimbilii tunda limeiva limeninginia
Bizi bizi bizi blunt kawake nibarizi naye na niseme naye
Kimya kimya nimpiga mate na sicheki naye niko radar naye
In a good mood babe i might wife ya recruit your girlfriends with the players in my team