Walai Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2022
Lyrics
Ananiekea geti kali ati ninyenyekee huko kwao nisitembelee
Ati niheme hizo paja nisinyemelee pia Mapenzi nisitegemee huh
Ka ni lebo naeza kushonea kitenge naeza simamia ata wera usipige
Mi si Burukenge, shikilia bahasha barikiwa mi ni blesser kwachu ndai pewa keja na
Biz naeza kutingulia kadhaa pori iko seti sikupotezei masaa
Mama karibia the mans shida zako si kibarua mi ntatatua
Bonge la campaign si wajua nimetua big fish kwa bahari mi ni poppa
Mia mia imma keep it 100 mia mia akudai nakudai nakudaaai
Aye miss phatty phaatty wanimurda cheki vile unavo twist and turn up
Hotter than hotter walai unamurda wanimaliza babe girl unanibuaga tu
Aye miss phatty phaatty wanimurda cheki vile unavo twist and turn up
Hotter than hotter walai bilai walai bilai
Toto si toto bila duigi uji si uji ka hujafinyilia limau
Umebeba hump ka ngamia paja nayo ya punda milia
Nina mipango kem kem zingatia nina bahati we ni diana marua
Chuma kimevimba nashindwa ata pumua design za elani we ni halua halua
We naeza kufinyilia kwa corner najua wahemea bakora
Ka moshi ya tire ntakuponya, usiwe na hofu we rombosa