Wherever You Are Lyrics
- Genre:R&B
- Year of Release:2022
Lyrics
Wherever You Are - Moe Dalz
...
(Mkwizu on this one baby) !!
Huuuuuh ouuuh ouuh ouuh,
Yeeh yeeeh..
Moe Dalz on this one yeh.
Haya mapenzi,
Ni siri nzito iliyo moyoni, yeah.
Haya mapenzi, ni sauti nzito,
Iliyo sikioni..
Tena mapenzi,
ni ugonjwa mzito, ulio akilini yeah mmmh..
Ona mapenzi, yanavo vunjaah..
Ndugu na jamaa, Yeeeh..
Ndomana ukipenda hausikii,
Ukipenda hauoni..
Ukipenda haujutii yeeah.
ukipenda hausikii,Ukipenda hauoni..
Ukipenda unakua chizi daily, yeeah..
Wherever you are, (Ooh ooh oooh)..
you are (Ooh ooh oooh)..
You are, penzi mwenzako lishankoleaah..
Wherever you are, (Ooh ooh oooh)..
you are (Ooh ooh oooh)..
You are, Kama mwalimu basi nimebobeah, yeeah ..
Yeeh eeeeeh
Mmmmh ooouh ooouh,
Wana chuki ndogo go,
Tuwazibe midomo mo,
Popote ulipo ntakuwepo, baby umo umo..
Naskia ndoa ndoano,
We nishike mkono,
Let's go far away, mi na weh, everyday baby..
Noma kweli penzi limeshakua noma..
sijachanganyikiwa kwako Kama zoba..
Naenjoy sitamani kurudi nyuma,
cheka nami, hasa upepo unapo vumaa..
Wherever you are, wherever you are!!!, You are..(Ooh ooh oooh)
you are..
penzi mwenzako lishankoleaah..!!
Wherever you are, Ooh wherever you are!!!, You are..(Ooh ooh oooh)
You are, Kama mwalimu basi nimebobeah..
Wherever you are, wherever you are!!!, You are..(Ooh ooh oooh)
you are..
penzi mwenzako lishankoleaah..!!
Wherever you are, Ooh wherever you are!!!, You are..(Ooh ooh oooh)
You are, Kama mwalimu basi nimebobeah..
Yeeeah..