Shika Lyrics
- Genre:R&B
- Year of Release:2022
Lyrics
Shika - Moe Dalz
...
Haya shika( yooh ) sasa twende ( wizzy young kill the beat ) Dada shika ( East African sound ) kamatia upendo
Haya ( Chiiiih) shika sasa twende kaka shika kamatia upendo
Kama ni utani mi nimeshazingatia ni hasara eeh
Kama ni ugali kachumbari tumekula tu kwa sana eeh
Acha tunenepe tufurahi
Zamu yetu hatutaki maseke
Acha waseme tunajidai
Mtaani kwetu ngoma ipikwe tucheze
Acha tunenepe tufurahi
Zamu yetu hatutaki maseke
Acha waseme tunajidai
Mtaani kwetu ngoma ipikwe tucheze
Haya shika sasa twende dada shika kamatia upendo
Haya shika sasa twende Kaka shika kamatia upendo
Haya shika sasa twende dada shika kamatia upendo
Haya shika sasa twende Kaka shika kamatia upendo
Haya shika sasa twende dada shika kamatia upendo
Haya shika sasa twende Kaka shika kamatia upendo
Leo ndio sikukuu yetu
Tunafuraha aaaaah
Shida zote vua njoo pekupeku
Si tufurahi aaaaah
Achana na Mambo ya walimwengu..
Njoo ujipe nafasi aaaah
Njoo tucheze mziki huu kivyetu vyetu !! Mwazo mwisho balaa aaaah..
Haya shika sasa twende dada shika kamatia upendo
Haya shika sasa twende Kaka shika kamatia upendo
Haya shika sasa twende dada shika kamatia upendo
Haya shika sasa twende Kaka shika kamatia upendo
Haya shika sasa twende dada shika kamatia upendo
Haya shika sasa twende Kaka shika kamatia upendo
Kamatia upendo
Weezy young on the beat aaah
Mmmmh eeeeeh
Again..again..again..!!
( wuuuh ) !!
( wuuuh ) !!
Hayaaah...( wuuuh ) !!
Twendeeeeeh..
Hayaaah... (Wuuuh ) !!
Twendeeeeeh..
Hayaaah...( Wuuuh ) !!
Twendeeeeeh..
Kamatia upendo !!!!
( Wuuuh ).!!!
( Wuuuh ).!!!