
One Day Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
One Day - Diana Bahati
...
One Day lyrics Diana b
Emb records
kabla mama hajazima aliniambia Kuna oneday
Diana B on this
Teddy B
mesesi
wengi walianza mbele yangu ,
saa ii hakuna mtu mbele yangu,
kwa uwanja na simama peke yangu,
na pande ya wanaume naona tu Pete yangu
na na shukru mungu kwa mablessing
na mie siishingi na ma settings
hata kuzaatu naingia trending
najua nawaudhi sana wale hawanipendi
nafunga deals Kama ramadhan
navuruga industry kiafghanistan
bad gal deal done kichwa baya
nickname yangu Taliban
kabla mama hajazimaaaah, aliniambia Kuna one day nikijikaza kujituma nitaenjoy something*2
James bond niite 007
na bring destruction Kama 911
wanasema nimeoa na boy wa 97
na huyo katumbo ati Nani baba heaven
ata Kama ni mi-stari,siwezi miscarry
na deliver Kama mkunga kwa hos-pitali
ni kimis-pery,hizo big worry
FREE
Kama msafiri amemiss gari
nafunga deals Kama ramadhan
navuruga industry ki Afghanistan
bad gal,deal done,kichwa baya
Nick name yangu Taliban
kabla mama hajazimaaaah aliniambia Kuna oneday nikijikaza nikijituma ni ya enjoy something,,,*2