
Hatutaachana Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Hatutaachana - Diana Bahati
...
EMB. record. ..Diana B on this
mapenzi tight kaa kifuniko ya gas
mafuture bright si ni zaidi ya stars
wanaosmema tutawachanaa
sidanganyi watangoja sana
yetu si akonde boy na kajala!!
mapenzi za kujienjoy zakifala
ama kama Lillian na Gavana
vita za Chris brown na Rihanna
ni Bahati na marua tamu kama halua
kitu mungu amepanga nani atapangua
kwote tunasumbua wote wanatujua
tumepata kitu hata pesa hiwezi nunua....
mtaachana tu achana tu mtaachana tu
achana tu tunakazana tu( kazana tu*3)
wenye roho chafu ni tym wazioshe
hatuwachani kama J na Beyonce
hii ni kina diper than the ocean
hakuna kupima twapenan yote yote!!
hii si cinema ni pingu za maisha
sisi together ni pingu ili pitisha
wanawaza kutuput asantaaa...!
watawaza akili zitagandaa...
ni Bahati na Marua tamu kama halua
kitu mungu amepanga nani atapangua
kote tunasumbua wote wanatujua
tumepata kitu hata pesa hiwezi nunua
mtaachana tu achana tu mtaachana tu
achana tu tunakazana tu (kazana tu*3)
ni Bahati na marua tamu kama halua
kitu mungu amepanga nani atapangua
kote tunasumbua wote wanatujua
tumepata kitu hata pesa hiwezi nunua
ʙᴇᴀᴛs........'':