Walevi na Polisi (Exray, Lil maina) Lyrics
- Genre:Electronic
- Year of Release:2021
Lyrics
Walevi na Polisi (Exray, Lil maina) - Magix Enga
...
mmh taniua
walevi (Mnanitafuta hamnipati, hamnipati)
Polisi (Mnanitafuta hamnipati, hamnipati)
Tupatane Friday, Friday, Friday
Basi tupatane Friday, Friday, Friday
Cheki aii
Hivi ndo naingia kusababisha
Mwendo aste aste kuwatisha
Kapesa kananihangaisha
Waiter niletee ile ya kawaida
Na leo nimepiga luku fisa
Leo kila picha nalipisha
Leo siezi choma kitire kwanini?
Nimejibebea ndani ya kichwa
Nikiingia manzi yako kwisha
Nikimwambia nakosanisha
Alafu nakutoanisha
Bouncer toa huyu morio amelalisha
Walevi (Mnanitafuta hamnipati, hamnipati)
Polisi (Mnanitafuta hamnipati, hamnipati)
Tupatane Friday, Friday, Friday
Basi tupatane Friday, Friday, Friday
Ati mnanitafuta na hamnipati
Utadishi nini iliki jaba au kaimati
Huyo si wangu ni wa kamati
Dem ako na mini mi nilidunda na patipati
Ana kapua kazuri anaitwanga J Capri
Huyo hutekwa na Audi TX ndio gari
Sijui English but wapoa ni walami
Hatajua nilipuliza nikitokea na kitambi
Kama Kristoff mi ni beshte ya Mututho
Buda peleka hio injili yako huko
Chunga sana usinipeleke na fujo
Ati nani ako wapi? Fasta fasta mi ndio hyo
Walevi (Mnanitafuta hamnipati, hamnipati)
Polisi (Mnanitafuta hamnipati, hamnipati)
Tupatane Friday, Friday, Friday
Basi tupatane Friday, Friday, Friday
Sherehe si hufanyaga na roho moja
Itisha waiter bila uoga
Na ikifika kabla hujaonja
Mwaga kwanza ya fallen soldiers
Rule number one ati obey your thirst
Alafu mamoshi wachia maras
Dancefloor leo hadi imejaa magirls
Wakirombosea ile mbogi ya magwash
Nikizima nirudishe Kanairo
Vitu zangu zipelekwe shylock
Bantu leo ama Nilotes
Ka huwezi tii kunywa nylon
Walevi (Mnanitafuta hamnipati, hamnipati)
Polisi (Mnanitafuta hamnipati, hamnipati)
Tupatane Friday, Friday, Friday
Basi tupatane Friday, Friday, Friday