Chachisha Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Chachisha - Magix Enga
...
this is how we party in a holiday
ni kila siku ku chachisha
this is how we party in a holiday
kabla wakati uja Isha
uskii ndakula merry Christmas na mkuje sherehe na msikose kukuja pia na g bag
ndapiga sherehe umekuja umepiga ma stippers
mahali pa sherehe ukipata mchele pia ime Isha unaeza tu twekelee
si ni kawaida ndani ya party utapatana wamedunga vitu fupi na pia zime wabana
cheki macho nyanya bila nime choma
lyrics by Ascar nduku