![Nakula Kwa Nakshi](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/20/1efde98831de41ee942cd114ec999ad4_464_464.jpg)
Nakula Kwa Nakshi Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2018
Lyrics
Nakula Kwa Nakshi - Mzee Yusuph
...
………………..maaaashallaaaaah
………mashallaaaaaaah
…….aaaaaaaahhhh
…..mtoto huyu mashaaalaaah >X2
ameumbwaaaa🥰
ameumbikaaa
mtoto huyu mashaalah >X2
sifa na tabia zake
mungu kamtunukia
umbile na sura yake
kidole namkatishia >X2
wenye kuuumwa na waumwee
wenye kuchomwa na wachomwe x2
huyu ni wakwangu mie
lazima mnichukie (mnichukie) x2
kwetu hamchini hamuakshi
tunakula kwa nakshi nakshi x2
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
aaaaah
aahhhhhhhh
aaaaahhhhhh
lalilaaaah laaaah
ahhhhhhhh
asalam❤️🥰
aaaaaaaah
aaaaah
aaaaah
aaaah
aaaaaaaaaaahhhh
aaah. yanasemwa mengi 🥰
kuhusu mapenzi hayaaaa
aah yasiyo na msingi
lengo kutuchafuliaaaaah x2
aaaaah ata mtafute timing
aaaaah ya kuja kutupekua
aaaaah basi siri ya mtungi
aaah kata tuu ndo inajua x2
jamaa ubaya aujengi
na hautawasaidia
jueni hafi steling
mpaka mchezo kuishia🥰🥰🥰🥰 x2
Jaman kupendana rahaaaaa🥰
kupendana rahaaaa
walimwengu msisikie
aaaah najidai hadi raha
sitaki msinisogelee x2
kwenye raha tunaishi
kama hatupo duniani
nakula kwa nakshi naskhi
naogelea pendoni x2
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
ahhhhhhhhh
aaaah
lalilaalaaah
aaaaaaaah
aaaaaaahhhh
aaah
ahh
aaah
ahh
lalaaa ahhh lalaaah
mtoto huyu mcheshi
mungu kanitunukiaaaaa
ameumbika kinakshii🥰
mtajijuuu mnaoumia❤️. x2
ahhhhh
kwa mungu fitina mareshiii🥰
aaahh
hayawi mnotegemea
aaaah
mana mmezidi uzushi
aaah
pia kutufatiliaaa🥰 x2
mimi nikila kinakshi
kwanini nyinyi mwaumia
mi na honey❤️ tunaishi
kwa raha katika dunia🥰. x2
Jamani kupendana❤️ raha
kupendana raha❤️
walimwengu msisikie
najidai hadi raha🥰
sitaki msinisogeleee ❤️❤️❤️❤️❤️ x2
kwenye raha tunaishi 🥰
kama hatuko duniani
nakula kwa nakshi nakshi
naogelea pendoni ❤️❤️❤️ x2
aaah
oooohh aaah
lalila lalaaah
aaaaaaah
aaaaaah
aaa
alaaaaa
mhhhhhh
Labda aamue mola
inshallah atalivua
lakini kwa zenu hila
puani zitawatokea. x2
aaaahhh
nikitamani masala
aaaaaah
kimwana hunitayalishia
aaaahh au chapati na chilaa
aaaa
apo ndo nnapomzimia. x2
Mengine kusema hila
nisije kumtibua
mimiiih kwa nakshi nnakula
poleni mnaoumiaaa x2
Jaman kupendana raha
kupendana raha
walimwengu msisikie
najidai hadi raha
sitaki msinisogelee x2
kwenye raha tunaishi
kama hatupo duniani
nakula kwa nakshi nakshi
naogelea pendoni x2
chuzi limekolea
aonjweshwi mtuu
utamu umekolea
apa ampati kitu
imbeni nyimbo zote na vina mpangilie
simpi mtu yoyote
ata machozi alie
niko tayali kwa lolote
afe au nife mie❤️
chuzi limekolea
aonjeshwi mtu
utamu umezidia
apa ampati kitu
kama simba wa mwituni
mimi ndie nyama yaaake🥰
ikiwa yeye shetwaani
hichi ndio kiti chake
na akishapanda kichwani
nishampa ndochake
chuzi limekolea
aonjeshwi mtu
utamu umezidia
apa ampati kitu
niiiiipe nachotaka
kwako honey❤️
niiiipe nachotaka
nachotaka bebiiii 🥰
niiipe nachotaka kwako bebiiii🥰
niiiipe nachotaka kwako honey
niiipe nachotaka kwakoo bebiii
niiiipe nachotaka kwako honey❤️
niiiiiiiiipe🥰❤️🥰❤️🥰❤️❤️❤️🥰
lyrics by van moore jr❤️