![Two In One](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/20/1efde98831de41ee942cd114ec999ad4_464_464.jpg)
Two In One Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2018
Lyrics
Two In One - Mzee Yusuph
...
inafurahisha ukiskiaa, inasikitisha ukiyajua, inaelewesha ukielewa
Ni waja wengi ? saana, ni wenye weza kufanya mengi Sana
na kupatanishaa wanapoamua ? hyo ? wanapoitaka sharii,
wapo uku na ukuu ? watu hatarii
? tuwaogope hawana herii,
mja usiombee , usiombeee,? ni hatarii, kazi zao hazina ukwelii
ni wabaya viumbee aoo,? kinaombwa ata ?
usiwaamini Hawa wafedhulii
aaah aah mja usiombeee ? manake ni wabayaa nafsi zao hazina ukwelii
ni waanaya viumbee viumbee , ishi nayo ? usiwaamini hao ? ? ni mtu mbayaaa ni mtu mbaya ,, mwenye akilii ajifanye kwako yeye si mbayaaa ,? ukweliii
? nini ni mtu mbayaaa
au Soni mwake ? mbaya , ni hatarii kwelii ? ? ? kumbe Hana ukwelii
? ? tena mfedhulii
akiwa kwako mwema akwamia utamu wa asaalii
eeh akikupa kisogo wewe ni mbayaa humwaga sumu kalii
aaah Nampa tahadharii ?aaah asije kukupa sharii (two in one)
(Wana ajabu za Atari saana,)
adi mwepesi wa Mambo ya laana)
oooh Wana nafsi za ajabu saana,za ajabu Sana
(ni hatari kugombanishana kugombanishana
na ni mziba kutoelewana kutoelewana
tuliwa tuliaw,tulia tuliaa
ayuwi Hana wemaa ? hammo moyoniii
dakika mbili atakuchenjiaa
? ?karimaa,,anao utu moyoniii
achelewi kuleta udhiaaa
? Hana wemaaa,,? moyoni
? ?ya kumtambuaaa
?? ya kumharibiaa
akiona watu wanaelewana katu atojitiaaa
? atuepushe mola ? ? naitikiaaa,
aishie alegee yu janaa
nyumbani anaitishiaa
la muhim tujiepushe na adui waaa
mola ampeperushe eeh ?
(Ana nafsi za ajabu saana,,ajabu saana
mwepesi wa Mambo ya laana ,Mambo ya laana
ni hatarii kugombanishana kugombanishanaa
jamii nzima kutoelewana kutoelewanaa
aaah two in one,two in one two in one two in on
ni hatarii haoo,two in one,,
epkana naooo,two in waan
upande mwemaa.,upande mnafikii
ww unaonaa,ni wko rafikii ,kumbe hana Mana,roho yke msalitii
atarii aoooo,two in one
epu kana naoo,two in one
? ? ?
tahadharii naooo two in one,,,
epkana naooo two in one
? ? ?
upande mwemaa upande mnafikii
? ? ?
yanaleta dhikii
Mara anajuaa,Mara anaskiaa,Mara ?
Mara ananunu Mara anachekaa ? ?
aaah,ah two in one