Dege Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2021
Lyrics
Hahahahaha
Dzzaamn rickiiee
Sherehe ni kama watu wamelipwa
Kila dem apa ndani anajipa
Inakaa Rusha mikonoo eeeh
Uyu dj ni mso soo eeeh iii
Wanajipaaa uyeyeye
Waki kuona wanajiipaa eeeh
So msinitie degee
Dege dege dege
So msinitie degee
Dege dege dege
Wanajiipaaa
Waki kuona wanajiipaa eeee
Usicheke na mimi
Pesa kubwa imetoka mjini
Na kama utaki usiniamini eeeeh
Usinione mi nafeel flyy
Ju pesa mi napata
Na bure bure mi najidai
Wewe fanya chenye unataka eeeh
Wanajiipaa uyeyeye
Waki kuona wanajiipaaa eeeh
So msinitie degee
Dege dege dege
Msinitie degee
Dege dege dege
Wanajipaaa
Waki kuona wanajiipaa eeeh
Hahahahahaha
Nna madem waki Mombasa
Nna madem waki Tanzania
Wengine waku toka Kampala
Na ata uko Morocco pia
Nna madem waki Naija
Nna madem waki South African
Nna madem toka Accra
Na ata Kinshasa pia
Wanajiipaaaa uyeyeye
Waki kuona wanajiipaa eeeh
Wanajiiiii hiiiii yeeeeee
Wanajiipaa ooooh
So msinitie degee
Dege dege dege
Msinitie degee
Dege dege dege
Wanajiiipaaaa
Waki kuona wanajiiipaaaa eeeeeh