Am sorry Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2021
Lyrics
Sweet sweet baby bananaa sweet your my sweet baby bananaa
Majuto ni mjukuu, ndio maana
Apa kwenye kamoyo nahisi kauchunguuu mmmmmh
Yani nime yanukuuu, sana
Kwani nlo kufanyia anisamehe munguuuu mmmmmmh
Aaah napiga simu baeb basi tuongee
Maana alishuki ata tonge, nijibu niache kunywa vidonge
Nisiiwaze kabisa Kamba ya mkonge
Au apo ulipo uningojee, bila wewe sijui nikoje
Nitell chochote nifanyeje, ilimradi am sorry ata iweje
Ukikasirika utaniumiza, na uki niadhibu utanimaliza
Juu ndio wapekee wakunituliza, bila we sura ngu nitaweka wapi
Ukikasirika utaniumiza, na uki niadhibu utanimaliza
Juu ndio wapekee wakunituliza, bila we sura ngu nitaweka wapi
Aaaaaaaaaaaaaaaaah am sorry
Aaaaaaaaaaaaaaaah baby nisamee
Aaaaaaaaaaaaaaaaah am sorry
Aaaaaaaaaaaaaaaah baby nisamee
Walinijaza sumu baby nikuwaache, bila kufikiri
Kwamba waja wa kweli tu niwachacheee
Am sorry
Eti kwamba wewe ni kichechee tena wa Siri, kila dume lije tu likupekeeche
I was worried about you (My baby)
Una niona sina Viatu (My baby)
Mbio mbio speedy Mia Tatu (My baby)
Nije kukuomba msamaa
Bado kidogo niwe fyatu (My baby)
Nilisahau nauli ya matatu (My baby)
All because baby I want to (My baby)
Nikuombe msamaaaaaaa
Ukikasirika utaniumiza, na uki niadhibu utanimaliza
Juu ndio wapekee wakunituliza, bila we sura ngu nitaweka wapi
Ukikasirika utaniumiza, na uki niadhibu utanimaliza
Juu ndio wapekee wakunituliza, bila we sura ngu nitaweka wapi
Aaaaaaaaaaaaaaaaah am sorry
Aaaaaaaaaaaaaaaah baby nisamee
Aaaaaaaaaaaaaaaaah am sorry
Aaaaaaaaaaaaaaaah baby nisamee
Aaaaaaaaaaaaaaaaah am sorry
Aaaaaaaaaaaaaaaah baby nisamee
Aaaaaaaaaaaaaaaaah am sorry
Aaaaaaaaaaaaaaaah baby nisamee
Your my sweet sweet baby bananaa
Your my sweet sweet baby bananaa
Your my sweet sweet baby bananaa
Am sorry, baby naomba unisamee
Sweet sweet baby bananaa
Sweet sweet baby bananaa
Your my sweet sweet baby bananaa
Naomba unisamee, baby am sorryyy