![On Top](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/05/f1f1faf13d244a80b481c1eeb86b3ba6_464_464.jpg)
On Top Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2014
Lyrics
On Top - Octopizzo
...
Oya,,,,yeah,,,eeeh,,,yoh,,,najua hamkuona hii ikikuja walai wgb namba nane Otco-p-i-double zee ooo
yeeeeah..checking checking man....
(Babz on the track oh)
walidhani wakibuy Subaru watakuwa wamewacha legacy
Octo niko juu ya madawa kama nimekalia pharmacy.
Brain iko full hata ujinga haiwezi ulizia vacancy
unataka kuwa ka me come ygb the hang nasi
Bado unakunywa cham eeei zangu ni ma hennessy
kuja na attitude tukuingize myra ka mercy
tunawahemesha tunawachotea wakitokwa na makamasi
mafuta ikiisha tutapika na makaa basi
kula chungwa na ndizi me ntakula nanasi
niko mbele wako nyuma ka wafuasi
reason daily maze mi huwachoma ka pasi
so nacome so slow juu track iko kasi
saa hii namake doh juu mtu wangu niko kazi
mtaa naenda na maziwa juu kwa rap game mi ni mzazi
cost ya kila kitu imepanda,hebu enda mombasa mtu wangu ulizie bei ya mnazi
namba name wapi..namba name on top
octopizzo wapi....octopizzo on top
so get that mulla..buy that ndola
I seh get that mulla buy that ndula
Ygb wapi ...ygb on top...
octopizzo wapi...octopizzo on top
so get that mulla ..buy that ndola
I seh get that mulla ...buy that ndola
Naspit fire then nalet it burn like usher
kwa rap game nadai cash ka Akasha
First class picnics nipate Naivasha
kuroll na ma model wasupa ka akina Natasha
sitembei na wale doh kwa bahasa
walijiona the storm saa hii nawamake rasha rasha
who's smatter now... wewe
niko juu yao nawachungulia ka mwewe
octo aka itisha upewe
ygb aka itisha ukewe
just a minute, wacha nimalize kuchana..
na si nywele...ni vijiti
ka plantations za kerich washut,nakaa bado itabidi nimewashika mashati
niwagote hata kuliko wanati
juu ukikuja ni rough game my own shirt ni kama......
octopizzo wapi..octopizzo on top
namba nane wai..namba nane on top
so get that Mulla buy that ndola
I seh get that mulla.. buy that ndula
ygb wapi...ygb on top
octopizzo wapi...Octopizzo on top
so get that mulla ..buy that ndola
I seh get that mulla ..buy that ndula.
.................................................
..................................................
Natoka kibera lakini hata nikisota sikopi
hwana style yangu ndio