Swagg ft. Nandy Lyrics
- Genre:R&B
- Year of Release:2021
Lyrics
Swag ft. Nandy - Joh Makini
...
(A city is in the house)
S2kizzy baby
your juice, your swag (swag)
Show me everything that you've got (swag)
your juice, your swag (swag)
Show me everything that you've got (swag)
your juice, your swag (swag)
Show me everything that you've got(swag)
your juice, your swag (swag)
Show me everything that you've got (swag)
Eyy,
Si lazima nikuonyeshe ma-ex ma'
sitozima ukinionyesha ma-text zao
nijue vile wanakutamani ka' pilau
nitie akili nisije kujisahau
nitie mapenzi ya ndoa uzae
utie mahaba ya Tanga nikae
nitie matunzo ya ghali ung'ae
kuanzia misingi, mpaka vigae
mezani menyu ni-view ku-divine
na sio December ndo kwanza July
tunaojilipa ndo tunajidai
John mi' rapper wa Suti na Tai
Turn on the light, turn off the light
Shawty am a star, you can see me in the dark (baby)
sitoki njia kuu, baki njia kuu,
nipandishe bei, sitaki unafuu
najua uko na option nyingi,
ila uko na mi' kwa sababu za msingi
na Joh, yuko na mambo mengi,
ila yu' nawe' kwa sababu za msingi (dope)
na penzi haliwezi likawa kauka nikuvae beby (Talk to me girl)
Ulisha tunga na uzi (Talk to me)
nguo yangu niivae mwilini
penzi haliwezi likawa kauka nikuvae beby (Talk to me girl)
ulisha tunga na uzi
nguo yangu niivae mwilini
hapana hapana chezea (never)
hapana chezea (Eyy)
hapana hapana chezea (never)
hapana chezea
hapana hapana chezea (never)
hapana chezea
hapana hapana chezea (no! no! no!)
hapana chezea
Eyy
Twende ile kila mikato high class (high class)
vitendo ni upendo, na tendo ni nafasi (nafasi)
mi' sichangii ma-nice wa kiti cha pasi (swear)
tusiende kwa miti kabla ya mitikasi (swear)
twende kwa Mungu, kisha ndo kwa wazazi (Halellujah)
nipende kwa moyo, ndo uje kwa mavazi (swear)
pale pa kushuka ndo tunapanda ngazi (swear)
ambia hawawezi, mumeo jambazi (swear)
nina pistol, nina Kristo (Eyy)
kama papa (Eyy)
Bennedict oh (Eyy)
kuna mema
na mapito (Eyy)
mepesi
na mazito (Eyy)
shinda yote
tuvuke mito (Eyy)
una nia
nina wito
say no more shawty, Funito (Eyy)
Funito!
your juice, your swag (swag)
Show me everything that you've got (swag)
your juice, your swag (swag)
Show me everything that you've got (swag)
your juice, your swag (swag)
Show me everything that you've got (swag)
your juice, your swag (swag)
Show me everything that you've got (swag)
hapana hapana chezea
hapana chezea
hapana hapana chezea
hapana chezea
hapana hapana chezea
hapana chezea
hapana hapana chezea
hapana chezea
...
*written by Badal Dalton*