Dangerous ft. Nahreel Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2020
Lyrics
Dangerous ft. Nahreel - Joh Makini
...
Joh Makini Dangerous
A City in the house
She is dangerous
Ama ni kitu gani
She is dangerous
Ama ni kitu gani
Mtoto you hatari miondoko.
Hana mpinzani kama ni soko.
Kimataifa mpaka loko
Mtoto ni chuma chumbani moto
Mtoto we chuma shamba ni lako
Mkulima mimi changu ni chako
Ushanisoma hii miondoko
Jiji ni homa juu yako
Kwetu lini utakwenda
Vipo vingi utapenda