Sitaki Tena Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Sitaki Tena - Alikiba
...
Umenitesa roho
ni kweli sio masihara
kutwa nahuzunika lonely
nikawa kama fala
nilijipa moyo, mbona nitafuna
penzi donda ndugu kwangu sugu
kufutika never
sasa umeona urudi tena
unaomba msamaha wa kurudiana
sasa umeona urudi tena
unaomba msamaha wa kurudiana
nasema sitaki tena ( tena)
mi sitaki tena (tena)
kurudia nyuma (tena)
oh sitaki tena (tena)
sasa umeona (tena)
mi sitaki tena (tena)
kurudia nyuma (tena)
oh sitaki tena
Ka unani-show mapenzi toka jana
tena una mengi majina
eti love designer ( love designer)
wanakuiita designer unavojua kushona
unavyoringa kama nyuzi ya shanga
kutikisa nyonga
sasa umeona urudi tena
unaomba msamaha wa kurudiana
sasa umeona urudi tena
unaomba msamaha wa kurudiana
nasema sitaki tena ( tena)
mi sitaki tena (tena)
kurudia nyuma (tena)
oh sitaki tena (tena)
sasa umeona (tena)
mi sitaki tena (tena)
kurudia nyuma (tena)
oh sitaki tena
sasa umeona urudi tena
unaomba msamaha wa kurudiana
sasa umeona urudi tena
unaomba msamaha wa kurudiana
nasema sitaki tena ( tena)
mi sitaki tena (tena)
kurudia nyuma (tena)
oh sitaki tena (tena)
sasa umeona (tena)
mi sitaki tena (tena)
kurudia nyuma (tena)
oh sitaki tena
Lyrics By Steven Godfrey