Ndombolo ft. Abdukiba, K2ga & Tommy Flaour Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Ndombolo ft. Abdukiba, K2ga & Tommy Flaour - Alikiba
...
Aiayayayaya....mamamamama
Lalelele...
I say mambo bado (Bado)
Kings iko Gado (Gado)
Cheza utakavyo
Mashuti ka Ronaldo
Wenye kulewa wako kwa door
Mziki uko kwao
Najionaga komando
Ukonga sa ipo juu
Mi nachezaga, ai ndombolo
Inama inuka, ai ndombolo
Usivunje mgongo, ai ndombolo
Dondo, ai ndombolo
Dombolo, ai ndombolo
Dombolo ya solo, ai ndombolo
Kwani we unachezaje, ai ndombolo
Natamani, ai ndombolo (Hii ngoma hukai)
Oh mama anacheza ndombolo
Tena kainama nitatoka tomorrow
Domo zito mi nabwabwaja, mi nabwabwaja
Mimi nabwabwaja, mi nabwabwaja
Domo zito mi nabwabwaja, mimi nabwabwaja
Mwenzenu mimi nabwabwaja
We nachezaje, ai ndombolo
Inama inuka, ai ndombolo
Usivunje mgongo, ai ndombolo
Dondo, ai ndombolo
Dombolo, ai ndombolo
Dombolo ya solo, ai ndombolo
Kwani we unachezaje, ai dombolo
Natamani, ai ndombolo (Hii ngoma hukai)
Baby you're my girl, oh baby you're my girl
Baby nipe more, nishaonjeshwa nipe more
Wanirusha roho, umeshinda umewin yeah
Ukinipa huchoki najiuliza we mtu ama mashine
We unachezaje, ai ndombolo
Inama inuka, ai ndombolo
Usivunje mgongo, ai ndombolo
Dondo, ai ndombolo
Dombolo, ai ndombolo
Dombolo ya solo, ai ndombolo
Kwani we unachezaje, ai dombolo
Natamani, ai ndombolo (Hii ngoma hukai)
Eeh wivu nayo umenikaa nashika love
Ah ukicheza na mwingine utanitoa roho
Kukutema sitaki taki, (waninogesha)
Ah sitaki taki, (waninogesha)
Kukupenda kindakindaki, (waninogesha)
Oh kindakindaki, (waninogesha)
Oh, basi cheza kimadoido, oh kimadoido
Biringe cheza kimadoido, oh kimadoido
Basi nichezee kimadoido, ah kimadoido
Basi oh kimadoido, oh kimadoido
Cheza ah, ai ndombolo
Inama inuka, ai ndombolo
Usivunje mgongo, ai ndombolo
Dondo, ai ndombolo
Dombolo, ai ndombolo
Dombolo ya solo, ai ndombolo
Kwani we unachezaje? Ai ndombolo
Natamani, ai ndombolo (Hii ngoma hukai)
(Added by Fidelisbzm01)