Spendi Ujinga ft. L7 & Nulif Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Spendi Ujinga ft. L7 & Nulif - Kayvo Kforce
...
sipendi ujinga kama ni ganja ikueni mambichwa
sipendi ujinga kama ni ganji ikueni mamita
sipendi ujinga kama ni ngeus akue ni msupa
sipendi ujinga kama ni swag ikue imeshuka
sipendi ujinga kama unauza fungua duka
sipendi ujinga kama ni ganja ikueni mambichwa
sipendi ujinga kama ni ganji ikueni mamita
sipendi ujinga kama ni ngeus akue ni msupa
walidhani tutasepa,mih en ma niggas hatunaga pressure,daily zetu ni kukesha,check out the drips check out the chasers,rende iko offline,we moving fast kama nganya za ronga,majani nachonga,c mbuzi mm hauwezi niconqur,pase pase to make am on the team so am holding the stakes,got the haters on the side team, always watching us back,alibonda tukitoka he went to my back akaanza ku su eeh, searching niggas on fwom ,pale mapopo wakaanza kusoma,
sipendi ujinga biashara za nyani,
spendi upuzi kunipima bangi,
sipendi msupa ananiitisha ganji
sipendi vile unanipulizia fegi,
story zako ni za watu wamededi,
kabla nibonge ni lazima nimedi,
ni Kaa kukatia Dem na ni wa thegi,
sipendi ujinga ni kama nko kesi,
Kaa ni uthegi tukaibe bengi,
kama n utamu iko kwa makeki,kama ni cancer iko kwa mafegi,
hao wengine wanaogopa kudedi,
sipendi ujinga nikiwa majaga, sipendi msupa kama Hana haga, sipendi ujinga mih ni WA kishata,kwa hii msitu c ndio mahunter wa kuwahanda,