Shamba Ya Mawe ft. Virusi Mbaya & Ibrah Mantiki Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Shamba Ya Mawe ft. Virusi Mbaya & Ibrah Mantiki - Kayvo Kforce
...
Namba nane drill, It's namba nane drill...
Ni kwamboka nani
Hadi siku nitaomoka nani
Slayqueen alikuwa habongi nami
Lakini saa Hii nalisha jamii
Itajipa we tia bidii
Naeza uliza jabidii
Hii mziki hunipee madhidhi
Ndo nikiroga nakuanga mzii
Saka mapesa,Jeshi inatesa
Focus kilazor,Ngeus atameza
Huwezi nicheza
Kama ni biz ganji kwa meza
Kama ni steamz zangu zinaweza
Kama ni G's wangu anaweza
Ukinidiss ukidhani utapenya
Ni ka kubuy skids na unaenda Mt.Kenya
Bitch
Shamba ni ya mawe nani
Lakini jembe inalima nani
Tafuta maganji nani
Sahau stori za kioo cha jamii
Shamba ni ya mawe nani
Lakini jembe inalima nani
Tafuta maganji nani
Sahau stori za kioo cha jamii
Sijawahi kuwa kioo cha jamii
Na sijawahi tegemea Hiyo usanii
So ukipenda usinipende mi sijali nani
Alibaki akiomba pliz na Si tafadhali nani
Started killing Hawa marappers kwa mic nikiwa thirteen
Saa Hii wananibeba kama Guru
And am not even 30
Never underpaid ata kama wanasemanga ATI nakuanga underrated
Hizi tarehe zinanikoroga ata sikumbuki the last time I just dated
Ile design na ball boy hauwezani
Hauna goals, Mi nikipotea I get missed
Weh ukimissiwa Labda kwa macalls
Shamba ni ya mawe nani
Lakini jembe inalima nani
Tafuta maganji nani
Sahau stori za kioo cha jamii
Shamba ni ya mawe nani
Lakini jembe inalima nani
Tafuta maganji nani
Sahau stori za kioo cha jamii
First thing mi ni hustler
Another thing mi ni gazella
On my team hakuna gangsters
Kunamad mans wataku ..aaah