ALBI ft. Raheem Daru Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2021
Lyrics
La la la la laaah
Pa Pa Paraaa
Aaah Aaah
Mapenzi
Yamenichosha mimi
Nakulaumu
Wangu moyo
Ulijua
Nitatendwa mimi
Sasa kwanini
Ulipenda
Aaah aaah
Nimebaki pekeyangu
Naumia na moyo wangu
Kiza totoro
Kimetawala roho yangu
Nashinda na swaumu
Kupunguza machungu
Ila bado
Mapenzi sumu
Albi ya albi
Trikni ya albi
Mish waqta halaq erjaa heb
Laaaa laa
Hallaq mafii
Wmannab idayyi
Ma baaref shou sarlo hal alb
Hal alb
Moyo kwanini
Ivi kwanini
Ulipenda
Nashindwa chakueleza
Mapenzi yameniweza
A'an albi wshu sayir fii
Basi tena
Macho yanajieleza
Machozi yanateleza
Tommini hessait ibsheyee
Aaah aaah
Albi ya albi
Trikni ya albi
Nimebaki pekeyangu
Naumia
Hallaq mafii
Wmannab idayyi
Kizatotoro moyoni
Aaah aaah
Laaa laaa aaah
Aaah
Maumivu
Basi tena
Aaah noo aaah
Albi ya albi
Trikni ya albi
Mish waqta halaq erjaa heb
Laaaa laa
Hallaq mafii
Wmannab idayyi
Ma baaref shou sarlo hal alb
Hal alb
Albi ya albi
Trikni ya albi
Nimebaki pekeyangu
Naumia
Hallaq mafii
Wmannab idayyi
Kizatotoro kimetawala
Rohoyangu
Pa Pa Pa raaa