ABASAJDA Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2022
Lyrics
Woooh
Ooooh
Aaaah
Yeah
Ubaya uwo ndio kazi yako
Kutuchonganisha yani ndo zako
Ili tupate tabu
Adhabu
Kwanini
Kwanini
Unataka tuwe tuwe wenzako
Tuiwache njia bora tuifate yako
Si tunataka wahabu
Yalatwifu
Atubariki
Kwanini we usiwe rafiki yetu
Tukupende utupende pia
Wewe umekua adui yetu
Twakukwepa twakukimbia
Aba sajda
Aba sajda
Aba sajda
Aba sajda
Kwanini usitubu kwa mola
Uwe mmbora
Uwe wa kwetu
Uwe mwenzetu
Aba sajda
Aba sajda
Aba sajda
Aba sajda
Kwanini usitubu kwa mola
Uwe mmbora
Uwe wa kwetu
Uwe mwenzetu
Oooh oooh
Acha ubaya
Oooh oooh
Huna haya
Mmbaya
Mmbaya
Mmbaya
Tubu kwa mola
Mmbaya
Mmbaya
Mmbaya
Utachomwa
Umemkosa mola wewe
Eti uadhibiwe nasi
Hiyo haituhusu
Aba sajda
Moto ni wako wewe
Chonde usiende nasi
Hatukutaki
Kwanini we usiwe rafiki yetu
Tukupende utupende pia
Wewe umekua adui yetu
Twakukwepa twakukimbia
Aba sajda
Aba sajda
Aba sajda
Aba sajda
Kwanini usitubu kwa mola
Uwe mmbora
Uwe wa kwetu
Uwe mwenzetu
Aba sajda
Aba sajda
Aba sajda
Aba sajda
Kwanini usitubu kwa mola
Uwe mmbora
Uwe wa kwetu
Uwe mwenzetu
Oooh oooh
Acha ubaya
Oooh oooh
Huna haya