Njia Moja Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2021
Lyrics
Hii ni njia moja ya kusema
Y'enda kuwa kwako ni mapema
Siri inabidi tu kutema
Hii ni njia moja ya kusema
Miezi nimengoja sijatenda
Muda unasonga unaenda
Sijawai sema nakupenda
Nakupenda Nakupenda Nakupenda
Sijawai sema nakupenda
Nakupenda Nakupenda Nakupenda
Walai Sijawai!
Whoa! Met no one like you before
Woi I'm in awe, Woi I'm in awe
Woi I need more, Woi I need more
Can't take it no more
If only how he know, if only oh he know
From the early on from the early on
How him make me fall back!
So many different ways
I have been racking my brain
So many different ways
Can't let one more go down the drain...
Darling!
Hii ni njia moja ya kusema
Y'enda kuwa kwako ni mapema
Siri inabidi tu kutema
Hii ni njia moja ya kusema
Miezi nimengoja sijatenda
Muda unasonga unaenda
Sijawai sema nakupenda
Nakupenda Nakupenda Nakupenda
Sijawai sema nakupenda
Nakupenda Nakupenda Nakupenda
Walai Sijawai!
What the use of living in denial
What I have been feeling for a while now
Love for you it deeper than di Nile
Nakupenda!
Standing here my heart is open wide
Longing for you to come inside
Give me your hand let me guide this time
Nakupenda Nakupenda Nakupenda
Nakupenda Mimi Nakupenda...
Nakupenda Nakupenda Nakupenda!