
KARIBU NAIROBI Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Sijui nikwambiaje
Eti mwanaume wako namjuaje
Yanihusu mimi aje
Kama kugombana ketini chini mbanje eh
Eti mimi nini kwake
Kumbe ulikuwa mmoja wa wanawake
Hasira nazo zisiwake
Roho tulia nakuahidi mi si wake eh
Karibu Nairobi
Uwanja huu utawezana
Karibu kwa pori
Ni mji wa kuchengana
Karibu Nairobi
Sijitumbikize kwa drama
Juu yangu usiworry
Kubali mumetengana
Kiwachwa Nairobi wachika
Kiwachwa Nairobi
Ni kuoga na kurudi
Kiwachwa Nairobi
Si maovu ni bahati
Umeponea lakini ujumbe hupati
Hadithi ipo tamati
Chunga usijefungia mapenzi ya dhati
Simlilie usimfuate
Chozi kumwaga kujipotezea wakati
Mtegoni usijinate eh
Roho fungia ichunge wasijeipate
Karibu Nairobi
Kiwachwa Nairobi wachika
Ni mji wa kuchengana
Mmh yeah oh yeah
Kiwachwa Nairobi
Ni kuoga na kurudi
Kiwachwa Nairobi
Samaki ni wengi tembea Africa
Bure kuishi bila uhakika
Sipendwe Nairobi ukadhani umefika
Bure kupoteza hata dakika
Karibu Nairobi
Ni mji wa kuchengana
Mmh yeah oh yeah
Kiwachwa Nairobi
Ni kuoga na kurudi
Kiwachwa Nairobi
Karibu Nairobi