![Nikamilishe](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/02/32067b3d37144df2a9a6ec402790babe.jpg)
Nikamilishe Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Nikamilishe - Jane Itumbi
...
bwana nikamilishe nikamilishe yesu nikamilishe nifanane nawe×2
nakuomba bwana nikamilishe ooh nikamilishe yesu nikamilishe nifanane nawe
juu nikamilishemoyo wangu unataka lleo oh nikamilishe nifanane nawe yoyoyo
beans nikamilishe nikamilishe yesu nikamilishe nifanane nawe×2
nitoke kwa viwango vya kutokuamini leo
nipande kwa viwango vya ufunuo na kweli nijazee Hadi niridhike yoyo unilishe Hadi nitosheke
uvichukue vipande vyangu vilivyovunjikavunjika ooh ninaombaaa unikamilishe
maana wewe mungu Ni mwingi was maarifa hekima ufahamu naomba unikamilishe
bwana nikamilishe nikamilishe yesu nikamilishe nifanane nawe×2
haha Ni maombi yangu leo