![Atatenda](https://source.boomplaymusic.com/group1/M00/03/4E/rBEehlqBs5-AL96tAAC5hRFIpTw475.jpg)
Atatenda Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2017
Lyrics
Atatenda - Jane Itumbi
...
moyo wangu mwabudu bwana usichoke kumpa sifa na ibaada
mwabudu muabudu naye atatends makuu usojua
yeye ndiye mungu pekee muabudu naye atatenda makuu usojua
yeye ndiye mungu pekee muabudu
Kama Saudi alivyoomba niumbie moyo Safi nikupe sadaka yangu iwe manukato
moyo uliovunjika kwako yesu
muabudu muabudu naye atatenda makuu usojua
yeye ndiye mungu pekee muabudu naye atatenda makuu usojua
yeye ndiye mungu pekee muabudu
yeye ndiye mungu pekee muabudu naye atatenda makuu usojua
yeye ndiye mungu pekee muabudu naye atatenda makuu usojua
yeye ndiye mungu pekee muabudu naye atatenda makuu usojua
yeye ndiye mungu pekee muabudu naye atatenda makuu usojua
yeye ndiye mungu pekee muabudu naye atatenda makuu usojua
yeye ndiye mungu pekee muabudu naye atatenda makuu usojua
yeye ndiye mungu pekee muabudu
wewe ndiye mungu tena beans
we nitakuabuduu