Ziwafikie Lyrics
- Genre:Electronic
- Year of Release:2021
Lyrics
Ziwafikie - Coyo
...
.............
unajua nn mazee coyo
ibada ya msoto wa siku nyingi
shimo limetema leo nina pesa zingi
nakumbuka nilishakesha kama mlinzi
enzi na zisaka wapo walioniita pimbi
weka mabia tutoe lock
tumeseka tumekaza tukazimake
tunasaka pia tushajikoki
weka mbali na watoto utavunja torch
wananiitaga joseph ntawasaga
namachada leo nitawamada
vipi nikikunyenga utakimada
nawenye machada nanitolekimoja
au tueleke bar tukakeshe keshe
hii ngoma ya wakubwa na ikeshe
????najua mwenyewe nimepita ngap shida
aliejuu ka nibless namba moja namasnich
towe wote kwa juu na dole moja
habar zangu ziende mbezi kimara na yombo
nanana vingunguti mpaka gongo la mboto machimbo
zifike magomeni tandale kwa tumbo
kinondoni mpaka ubungo maziwa mabibo
mezani tungi chini siwazi kodi
shetani chin kakifusi juu god
bonge la toto pemben sio la kufogi
white para limevimba kama linamiliki vogi
nafungua pochi nafunga bar
nakumbuka geto live ni viroba chimbo kuna raha
ngosha ita majama niwape habar zangu wafikishe mpaka dar
mm ndo m to the c wap m to the p
mwaga tungi chini tumkumbuke ngea aisi
rip waliotangulia na tuliobakia habar zetu ziende jela ile kibabu sea
????najua mwenyewe nimepita ngap shida
aliejuu ka nibless namba moja namasnich
towe wote kwa juu na dole moja
zifike mabatini sahara na meko
butimba segerea uyui na keko
a city mbeya city mpaka chato
nazifike bugarika kwa wanangu gheto