Itakucost Lyrics
- Genre:Electronic
- Year of Release:2021
Lyrics
Itakucost - Coyo
...
????
kama kujuana isiwe tabu
fegi unagongea pamba unagongea
Leo unaniomba pombe club aaah!
kuwa na adabu
bit ya singeli uwez dag
ww dada unaedanganywa na mashost
picha za utupu ndo unapost
itakucost
nyingine chura za kubust bust
naumbea umbea kushinda saloon
itakucost
kinachokupa stress kinatoka wap
kipato cha buku unahonga laki
kujibebesha mzigo kichwa cha samaki
kuendesha familia na pesa ta kubet
mungu kakupa roho safi
unajipandikiza roho mbaya
chunga na maisha ya ku act
wanasemaga bongo bahat mbaya
sifa vingi visa ukizidisha
itakucost
sifa vingi visa ukizidisha
itakucost
toa msaada kwa shori wakuite danga
unatupo story ya kwako kuku amepanga
mashariki kila mchezo sikuizi samba
naukipenda vya bure mjini watakumanga
unashanga tunavyo Kiki border
ukiforce kuwa sisi wata kukiki boga
na marafiki ni mafake niga
ukitaman kuwa wao itakucost iga
sifa ving visa kwa ofa za bia chunga utajuta
unataman mbele ukajitose kwa nyerere
na kihere here pitia wap tukacheze na segere
kinachokupa stress kinatoka wap
kipato cha buku unahonga laki
kujibebesha mzigo kichwa cha samaki
kuendesha familia na pesa ta kubet
mungu kakupa roho safi
unajipandikiza roho mbaya
chunga na maisha ya ku act
wanasemaga bongo bahat mbaya
sifa vingi visa ukizidisha
itakucost
sifa vingi visa ukizidisha
itakucost
??????????