![Sandakalawe](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/25/31d858288f904ce594463abaed9aebc6.jpg)
Sandakalawe Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Sandakalawe - Harmonize
...
(Yaw Yaw)
(Daxo Cha..Daxo Chali)
Yebooo Konde boy call me number one
So much money in the bank money
All dem girls call me honey
Only your love can turn me to a mad man
Leo nakuto...totoo nakutoa kwenu uje kwangu
Nina hamu yakuto....totoo kutoa mahari uwe wangu
Basi sema unakuja saa ngapi ama kwenu umeshakatazwa
Said kichwa nitamueka wapi na mkongo nimeshampakaza
lyo mitungi ndo usiseme utakunywa utasaza
Kama pesa ndo zipo nyingi kuzigawa nimeshaanza
Wahuni sadakalawe amina aah mwenye kupata apateee
Je mwenye kukosa akoseee eeh kuku gani? (mweupee)
Ah sadakalawe amina na mwenye kupata apateee
Je mwenye kukosa akoseee eeh kuku gani?
Leo nataka toto....too toa out
Mimi na hamu ya kuto....too kutoka na wewe
Jiandae leo na kuto....too toa out
Mimi na hamu ya kuto....to toka na wewe (Yebooo)
Yeah! My beautiful baby from juba
I wanna take you to Dubai
Yes I'm ready to do that, do that,do that
Hasa twende
Popolipo lipopoo
Popolipo lipopoo
Popolipo lipopoo
popolipo lipopoo
lyo mitungi ndo usiseme utakunywa utasaza
Kama pesa ndo zipo nyingi kuzigawa nimeshaanza
Wahuni sandakalawe amina aah mwenye kupata apateee
Je mwenye kukosa akoseee eeh kuku gani? (mweupee)
Ah sadakalawe amina na mwenye kupata apateee
Je mwenye kukosa akoseee eeh kuku gani?
Leo nataka toto....too toa out
Mimi na hamu ya kuto....too kutoka na wewe
Jiandae leo nakuto....too kutoa out
Mimi na hamu ya kuto....too kutoka na wewe (Yebooo)
(The Mix.........Killer)
Leo nataka kukuto....too kutoa out
Mimi na hamu ya kuto....too kutoka na wewe
Jiandae leo na kuto....too kutoa out
Mimi na hamu ya kuto....too kutoka na wewe (Yebooo)