![My Boo Rmx](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/04/936407310344406d88d5fca738106108.jpg)
My Boo Rmx Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
My Boo Rmx - Harmonize
...
konde boy
yaani chile na konde boy
..mola anakupa sitahili
hakupi hunachotaka
ndo maana nimetulia nakukabithi mtima
naridhi kivungu mbili
kukosa na kupata
we unanivumilia hata nikwa Sina
Ii
mi najua wapo waliosema unifai
ati hatuedani wanajichosha na kujipa taabu...ooh wapo waliosema umetoka na maasai tena hadharani wakapotosha umedunda mwaraabu
ila mi nishapenda nishapenda
sioni sisikii
siku Zina kwenda zinakwenda sing'oki kisikii ooohnishapenda nishapenda
sioni sisikii siku zinakwenda zinakwenda
sing'oki kisikii msijipe
Chile
taabu