![Nishapona](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/04/b9bf8861ca524be088de95c4cda93a83.jpg)
Nishapona Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Nishapona - Harmonize
...
instruments
mmmmmmh mmmmmh mmmmh
imani nafsi inaniambia haukua fungu langu
na sidhanii kama nilikosea kukabidhi moyo wangu
mmmmmmh
ulinidangaya mapenzi mizuri basi panda twende safari
bila kujua la kwako ni mwendokasi
ghafla ukanipa ajali
upweke umetawala nafsi
mwenzako usiku silali
nahesabu mabati kisa wewe ilaa
sijutii moyo waanguu (kupenda nisipopendwa)
sirudii makosa yangu(mjinga wa kati wa kwenda)
kinacho niuma roho yanguu(wakanena wahenga)
mana si kwa posti zanguu(nikijinadi napendwaa)
nishapona
nishapona
nishapona
ila mazoea
basi nenda umwambie
nishapona (ooh mwambie eeh)
nishapona (basi umwambie eeeh)
nishapona
ila mazoea
instruments
heshima kumyenyekea
nilivyo myenyekea
akaniona si chochote kwake
mazima kanipotezea kanipotezea
alipomaliza shida zakee
ila bado siamini
kweli ndo yule alokua akisema
halali asiponiona
na kujilisha yamini yote ni buree
nikamwita chanda chema
alininidanganya aaah
zile mesegi za kunichombeza zinaniuma roho ooh
mara akinidekeza raji njoo ooh
ungesema nilupoteleza nikamwomba pooo
si vyema amenitelekeza eti kisa dooh ooh
basi nenda umwambie eeeeeeh
nishapona (oooh mwambie)
nishapona (basi umwambie)
basi umwambie eeeh
nishapona
basi nenda umwambie eeeeeeh (nishapona)
ila mazoea
instruments
nenda kamwambie najifa
nendaa aah kamwambie najifa
basi nenda kamwambie najifa
nendaa kwambie najifa.