![Niambie?](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/04/2ca68e95231f4b93883e070823bb6385.jpg)
Niambie? Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Niambie? - Harmonize
...
wasafiii
instruments
mmmmh mmmh
wasafi records
mmh
mujini kipenzi sirandi shilingi baby
kupendana zamani ndo wanvyo semaga
wazuri ni wengi ila uongo mwingi baby
wakishaona vya ndani basi wanakumwaga
ndo maanaga ukichelewa dukani mie kamoyo kananidundaga...
nawaza isije imagine jirani akakuonga kilo ya unga aaah
ooooh ooh ,,,,,,,
mbaya zaidi sina kazi nakosa sintano kipandee bora nikuweke wazi ya nn nikufiche vyambee
tumeumbiwa shida maradhi ndo chanzo mpaka wengi wadangee aagh
niweke wazi ni kipi kinafanya unipende
nambie (tell me baby love)
ooh basi nambie
vipi unanipenda ingali Sina doo
nambiee(oooh basi nambie)
tell me baby love (ooh basi nambie)
usije nitenda ukaniumiza roho uuuh
instruments
mmmmmmh aaaaai
sikuhizi magari ya wa Kongo mapesa mara nyumba mbezi
usinichanganye na ubongo unidate kisa mapenzi
sijakuwekea dumba
umenipendea rumba
vipi nikija kudunda?
oooh oooh
mbaya zaidi sina kazi nakosa sintano kipandee
bora nikuweke wazi ya nn nikufiche vyambee
tumeumbiwa shida maradhi ndo chanzo mpaka wengi wadangee aagh
niweke wazi ni kipi kinafanya unipende
(tell Mee) nambie (teel Mee) ooh baby love
ooh basi nambie
vipi unanipenda ingali Sina doo
nambie (ooh basi nambie)
oooh basi nambie(tell me baby love )
usije nitenda ukaniumiza roho uuuh
instruments
umenipendea nini (kipi mama)
umenipendea nini(basi sema )
umenipendea nn (umenipendea nn ingali sina doo )
umenipendea??(tell me baby love)
umenipendea??(ooh basi nambie)
umenipendea ??(unanipendea nn ingali sina iiiih iiih yeeee)
beats
ayolizaaa
eeeeh eeeh
mwendokasii