
Haiwihaiwi (feat. Bienaime) Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2016
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Haiwihaiwi ft. Bienaime - Wendy Kimani
...
Ni Kitu Gani, Kitu Gani,
Unaniletea Maringo,
Ngoja Ngoja, Huumiza Matumbo,
Mimi Ni Msanii, Tena Chali Wa Kishua,
Ukipata Kunijua, Utagundua Mi Ni Mtu Wa Maana,
Na Sina Time, Sina Time,
Ya Kupuliza Gunia,
Ni Duara Hii Dunia, Nakwambia,
Utajileta Utajileta,
Chorus(Bien Aime):
Haiwi Haiwi Mama, Mwishowe Mama Huwa,
Haiwi Haiwi Mama, Mwishowe Mama Huwa,
Haiwi Haiwi Mama, Mwishowe Mama Huwa,
Haiwi Haiwi Mama, Mwishowe Mama Huwa,
Verse 2(Wendy Kimani):
Kuna Wengi Hapa Town,
Wadai Wani Missi,
Wapenda Kuniita Sherry,
Mimi Sina Feelingsi,
We Bado Kijanaa,
Mi Kidosho Nimekoma,
Tabia Za Kifisi Haziridhishi,
Hebu Ni Kuelimishe,
Mi Ni Chickidee,
Tena Manzi Wa Kishua,
Ulizia Ulizia Utaambiwa, Wendy Jina Kubwa,
Oh No Please....
Chorus(Wendy Kimani):
Haiwi Haiwi Kaka, Haitawahi Kuwa
Haiwi Haiwi Kaka, Haitawahi Kuwa
Haiwi Haiwi Kaka, Haitawahi Kuwa
Haiwi Haiwi Kaka, Haitawahi Kuwa
Verse 3:
(Bien Aime)
Wacha Kucheza Hard To Get,
Njoo Twende Date Ya Supaghetti,
Kwenye Corner Laico Regency,
Uone Nyota Za Mapenzi
(Wendy Kimani)
Matamshi Yako Ya Kishenzi,
Mimi Sili Supaghetti,
Nasiendi Laico Regency,
Kimbelembele Ugali Mbichi,
Chorus(Bien Aime)
Chorus(Wendy Kimani)